Lioben Limited itakushika mkono kwenye manunuzi yako. Ama unajua unachohitaji, una wasi wasi au hujui kabisa, tuko hapa wakati wowote unapotuhitaji kutoa msaada wa haraka na wa kuaminika kwa manunuzi yako.
Lioben Limited inatoa kiupaumbele kukupatia bidhaa zenye ubora wa juu na halisi. Tuamini kukupatia bidhaa bora na kuhakikisha kuridhika kwako kwa kila ununuzi.
Furahia huduma za hali ya juu na Lioben Limited bila kuvunja benki. Tumejitolea kutoa thamani ya pekee, kuhakikisha unapokea huduma bora kwa bei zinazoendana na bajeti yako.
Chagua Lioben Limited kwa upatikanaji usio na usumbufu wa bidhaa za Uingereza pamoja na uwasilishaji salama na kwa wakati unaofaa hadi Tanzania.
Agiza na sisi mzigo kutoka Uiengeraza, uupate popote ulipo Tanzania ndani ya siku 7 hadi 14. Mizigo ya meli hutumia kuanzia wiki 8. Wasiliana nasi ujue meli ijayo inaondoka lini.
Piga au WhatsApp: +44 7946 665585
Barua pepe: belinda.lawuo@liobenlimited.co.uk
Anuani yetu: London, United Kingdom
Anuani ya kupokelea mizigo: Sinza Afrikasana, Tanzania
We need your consent to load the translations
We use a third-party service to translate the website content that may collect data about your activity. Please review the details in the privacy policy and accept the service to view the translations.