Huduma Zetu 

Karibu Lioben Limited, mshirika wako wa kuaminika kwa huduma za manunuzi na usafirishaji zenye ufanisi kutoka Uiengereza hadi Tanzania. Tunafanya iwe rahisi kwako kupata masoko ya Uingereza na kuhakikisha usalama wa uwasilishaji wa vitu vyako hadi mlangoni pako.

Huduma za Manunuzi 

Tuambie unachotaka kununua kutoka Uingereza, na sisi tutashughulikia mchakato wa ununuzi. Tunahakikisha unapata bidhaa bora, tunakagua ubora wao, na kuzipeleka kwako kwa usalama.

Huduma za Usafirishaji Mizigo 

Tunatoa suluhisho za usafirishaji za kuaminika, ikiwa ni pamoja na usafirishaji wa anga kwa mahitaji ya haraka na usafirishaji wa baharini kwa mizigo mikubwa. Tuamini kuleta vitu vyako kwa usalama na ufanisi kutoka Uingereza hadi Tanzania.

Tumia Anwani Yetu (Kwa Manunuzi Yako)

Nunua kutoka duka lolote la mtandaoni la Uingereza ukitumia anwani yetu ya Uingereza. Tutapokea mizigi yako, tuiunganishe ili kupunguza gharama za usafirishaji, na kuipeleka Tanzania kwa ajili yako.

Utaratibu Wetu

Chagua Huduma Yako

Wasiliana nasi kwa huduma unayohitaji kutoka kwetu.

Dakika 5

Malipo

Lipia asilimia hamsini (50%) ya gharama ya huduma yako. Malizia malipo yako mzigo ukiwaisili Tanzania.

Asilimia 50

Pata Mzigo Wako

Pata mzigo wako ndani ya Siku 7 hadi 14 kwa mizigo ya haraka ya ndege. Wasiliana na sisi kwa utaratibu kamili kwa mizigo ya meli.

Siku 7-14

All rights reserved. Lioben Limited

© 2022

We need your consent to load the translations

We use a third-party service to translate the website content that may collect data about your activity. Please review the details in the privacy policy and accept the service to view the translations.